Z Anton - Binti Kiziwi 歌词

Verse
Nimpate vipi mi sijui, ninaimani mapenzi hayajuiiihi
Nitapata ugojwa wa moyo, kwa sababu ya mawazo Ninavyojuwa maisha yake, hajawai kuwa na boyfriend
Ila ni mimi wakwanza naninashindwa kumpata
Kwa ishara inaonekana nampenda, yeye eti ninamzingua Eti ingelikuwa anaskia, basi ukweli wangu angeujua
Kwa ishara inaonekana nampenda, yeye eti ninamzingua Eti ingelikuwa anaskia, basi ukweli wangu angeujua Ningelizoe rafiki yakee basi ye ni,ningemtumaaaa Ningezitambua ishara zake basi mi kwake ningefika Ningelizoe rafiki yakee basi ye ni,ningemtumaaaa Ningezitambua ishara zake basi mi kwake ningefika
Chorus
Si siri ninampenda binti kiziwi
Moyo wangu wamoteka binti kiziwi
Si siri nataseka juu yake, ye binti kiziwi
Si siri ninampenda binti kiziwi
Kwakuwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi
Kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwiiii
Verse 2
Nashangaa pale nampomkutaaa, akiwa nawenzake wanaongeaaa Huwa najiuliza mimi, wanaongea,naye vipiiii Nashangaa napo muitaa,nahisi huwa anakata
Sijui ndio hasiki, au mapozi, au mapozi naye
Afadhali angejuae kusomae,hatachale kiumbe ningempa Eti kama ningejuwa isharaaa,basi kwake ningefika mimi Afadhali angejuwa kusomae, hata mbonge kiumbee ningempa Etikama ningejua isharaa,mbasi kwake ningefika baby
Chorus
Si siri ninampenda binti kiziwi
Moyo wangu wamoteka binti kiziwi
Si siri nataseka juu yake,ye binti kiziwi
Si siri ninampenda binti kiziwi Kwa moyo wangu wamouteka binti kiziwi
Kichwa kinauma mawazo kwake binti kiziwi
Rap Verse
Binti kiziwi yuko full yani yuko bombaa
Amenidatisha mnyamwezi nayake figure
Tatizo moja tu ambalo mimi hulinasibu
Kila kukicha hata inikiwaza mimi sipati jibu
Nikimwambia neno i luv you wala halijuwi
Nikimwambie neno i need you halitambui
Nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii
Pingu nasikitika nikimwona mbinti kiziwi
Nikimwambia neno i luv you wala halijuwi
Nikimwambie neno i need you halitambui
Nikimwimbia nyimbo nzuri hata sikiii
Pingu nasikitika nikimwona mbinti kiziwi
Bridge
Hatakusema neno i luv youuu kwake halijui
Hatakusema neno i need youuu kwake halitambui Hatakusema neno i luv youuu kwake halijui
Hatakusema neno i need youuu kwake halitambui Baby,baby baby,booo,
baby i love you Ingawa nateseka naye,
baby i need you Baby, baby, booo(uhuu),
baby i love you (uhuhu) Baby (tuhuu) baby,
i need you (uhu) Repeat Chorus till fade
这个歌词已经 1961 次被阅读了