Mtwa Rifle - Smile 歌词

Intro; I n I.. Fire wooooh me seh I n I Love... Anhaa!!
Dats Rifle number one King of Kin Ondon Yard

Chorus;
Na lako smiiiiiiiiiiile
Linanifanya nijihisi labda sina lens nzuri inna me Eyeeeeeeeez
maana gafla naona sura yako imekua taswira ya paradiiiiiiiiiize
Me gve thankz n Praise to de most high for him av Bless yoh wittah shining smiiile
Uuuuh Bbe... Uuuuh Lady eeh!!

Verse 1;
Now check dic I n I Jah..
Siku ya kwanza nmekutia machoni moyoni nkasema hii sio Tamaa Ahh!
Wanang'azang'aza ila hauoni sabab we mwenyewe hauna Tamaa Aaah ahh..
Kwa muumba me gve dem thankz n praise maana amekuraise like a shinin star
Aaah ah! we eh wa pekee
She seh she want ah man na nataman 2 be de one

Bridge;
So hisia zangu naona zimegota kwa huyu shauty..
Humu ndani ya Goligota mwingine sioni
Tabu kwa roho nisipokuona Gaal uuh mamamai
Nashindwa hata kusema lemme summarize

Zhhibidibambam.. zhibidibambam..
nafsi haina upinzani, me na yee n idamdam
Zhhibidibambam.. zhibidibambam..
nafsi haina upinzani na lake smile

Chorus;
Na lako smiiiiiiiiiiile
Linanifanya nijihisi labda sina lens nzuri inna me Eyeeeeeeeez
maana gafla naona sura yako imekua taswira ya paradiiiiiiiiiize
Me gve thankz n Praise to de most high for him av Bless yoh wittah shining smiiile
Uuuuh Bbe... Uuuuh Lady eeh!!
Rifle..

Verse 2;
Shauty yoh back it up,, rapapaam
gimme dem tingz ah deserve
Oooh mamamamai.. unanifanya mi nadata na lako tabasam
niko hoi taaban naona haiwezekan kuwa mbali nawe shauty..
Nimemwambia navuta kasema nae anafanya
Si tunavuta baraka tunakanyaga laana
Acha uzushi baahna,, si kwetu hapaana
makaraa na ndomana nampenda sanaaa

Bridge;
So hisia zangu naona zimegota kwa huyu shauty..
Humu ndani ya Goligota mwingine sioni
Tabu kwa roho nisipokuona Gaal uuh mamamai
Nashindwa hata kusema lemme summarize

Zhhibidibambam.. zhibidibambam..
nafsi haina upinzani, me na yee ni damdam
Zhhibidibambam.. zhibidibambam..
nafsi haina upinzani na lake smile

Chorus;
Na lako smiiiiiiiiiiile
Linanifanya nijihisi labda sina lens nzuri inna me Eyeeeeeeeez
maana gafla naona sura yako imekua taswira ya paradiiiiiiiiiize
Me gve thankz n Praise to de most high for him av Bless yoh wittah shining smiiile
Uuuuh Bbe... Uuuuh Lady eeh!!
yoh trully blessed yoh trully blessed
me one n only bbee eeh eh
Anha!
Auto;
Az it takes a Revolution to have a Solution
Blessed Earthstrong eh wah yoh Kin Ondon Yard
Remember eeh Jah.. Who Jah bless no man curse uwooh uooh!..
这个歌词已经 635 次被阅读了