MB Dogg - Si Uliniambia 歌词

Verse 1 2x
Si kwamba tu naimba sometimes huwa nalia
Hofu na mashaka ulipo nakuondoshea
Ulisema waja mnyamwezi nikakungojea
Sema mami sema lini utarejea?
Eh eh eh, I love you mami
Oh oh oh, I love you girl
Eh eh eh, I love you mami
Oh oh oh, I love you girl
Uliposema waja wee mi nikakungojea
Mara muda umepita Abdul Bonge umeshamboa
Hivi kangoja mpaka Mola kamchukua?
Sema mamy sema lini utarejea?
Eh eh eh, I love you mami
Oh oh oh, I love you girl
Eh eh eh, I love you mami
Oh oh oh, I love you girl
Chorus
Si ulinambia kwamba waja Man Dog Man nnakungoja
Si ulinambia kwamba waja Man Dog Man nnakungoja Bongo toka ulipotoka miaka imepita
Sijakuona wangu my darling
Ni mbali huko uliko mi nna mashaka
Nakosa raha kabisa
Verse 2
Penzi lako nkilikosa baby kwangu soo
Ndo mana mi nakwita baby baby kwangu njoo
Nakupa laivu baby unanitesa roho
Ndo mannakonda nadata na picha zako
Au ndo ule mfano baby wanipenda roho
Na ile nyama mbichi baby itaniuma roho
Kama ni dili ntazicheza baadae
Kwanza rudi home washangae
Rudi home baby ili wapagawe
Nicheze nawe Kuchi Kuchi Hota Haii
Nakusubiri baby, nakungojea mchumba
Nakusubiri nakungoja Mchumba usinizuge
Nakusubiri baby nakungojea mchumba
Repeat Chorus
Verse 3
Na kama waja niambie baby yee iye
Kama utanitosa mi nijua baby yee iye
Haina mana sina jinsi I love you girl
I love you shori everyday
Haina mana sina jinsi I love you girl
I love you shori everyday
Repeat Chorus till fade
这个歌词已经 532 次被阅读了