MB Dogg - Dear 歌词

Verse 1
Huamini miujiza mchumba
Sauti ya nyuki inasikika
Sogea karibu 'baby' 'time' zishafika
Unipe uhuru 'dear Nikiss' nnapotoka
Tukae mlimani dear Niwe 'free'
ndani ya kopa Penzi kwa fujo my boo
Moyo wangu ushauteka Raha ya Afrika
RTD Mimi ndo 'one naskika
Hivi kwanini dear
Moyo wangu unautesa
Hivi hushoboki dear
Inavyonipenda East Africa Yii yii dear,
I need you dear Ooh dear, I Love you my baby
Chorus
Haya mapenzi ni kitu gani
Muda nawaza mpaka nimechoka
Vile Dog mimi nina jina
Mashori wengi tu wanashoboka
Nnayempenda mimi hanipendi
Nnachotaka kwake mi sipati
Kukataa mpenzi ana haki
nami Kumuacha moyo hautaki
Verse 2
Naamini wenye tamaa ni wengi
Wachache wanajua kupenda
Ninakupenda we kwa moyo o
Ukiniacha mi ntakonda
Company yetu wote makacha a
Kuhusu mabitozi hakuna kabisa a
Jimix' na Magangsters baby upate raha a
Hoo nakondaa kabisa a
Wazuri kibao wananipenda
Siwajali mimi nawatesa
Cha ajabu yule wangu wa moyo o
Yeye hanitaki kabisa a
Company yetu wote makacha a
Kuhusu mabitozi hakuna kabisa a,
Jimix na Magangsters baby upate raha a
Hoo nakondaa kabisa a
Mwambieni mi kama ntakufa
Kifo changu amesababisha
Simlazimishi ye kunipenda
Ila mwambieni ananikondesha
Nampenda mpenzi mikachaa
Nisipo mwona Dog sina raha
Mwambieni wangu sinyoraa Yii yii yii
nampenda a
Hook 2x
Yii yii dear, I need you dear
Ooh dear, I Love you my baby
Repeat Chorus
这个歌词已经 773 次被阅读了