uvivu ni adui mkubwa
wa ujenzi wa taifa
kwani nicho kiini hasa
kisababishacho njaa
ewe ndugu yangu wee
amka kumekucha
kamata jembe na panga
twende shamba
hata wewe mwanangu
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda shule
hata wewe Karani
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda kazi
uvivu ni adui mkubwa
wa ujenzi wa taifa
kwani nicho kiini hasa
kisababishacho njaa
ewe ndugu yangu wee
amka kumekucha
kamata jembe na panga
twende shamba
hata wewe mwanangu
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda shule
hata wewe Karani
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda kazi
uvivu ni adui mkubwa
wa ujenzi wa taifa
kwani nicho kiini hasa
kisababishacho njaa
ewe ndugu yangu wee
amka kumekucha
kamata jembe na panga
twende shamba
hata wewe mwanangu
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda shule
hata wewe Karani
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda kazi
uvivu ndio adui
wa ujenzi wa taifa
jiepushe na uvivu
tujenge taifa
ndugu yangu kumekucha
amka twende shamba
jiepushe na uvivu
tujenge taifa
mwanamke kumekucha
amka uende shule
elimu ndio msingi
wa maendeleo
Karani kumekucha
amka uende kazi
jiepushe na uvivu
tujenge taifa
uvivu ndio adui
wa ujenzi wa taifa
jiepushe na uvivu
tujenge taifa
ndugu yangu kumekucha
amka twende shamba
jiepushe na uvivu
tujenge taifa
mwanamke kumekucha
amka uende shule
elimu ndio msingi
wa maendeleo
Karani kumekucha
amka uende kazi
jiepushe na uvivu
tujenge taifa
hata wewe Karani
amka kumekucha
kwani hizi ndizo saa
za kwenda kazi