Marlaw - Bembeleza 歌词

Chorus
Hey hey hello maa
Laiti ningekuwa unaniona
Vile kila time nakonda nawaza
Kama kukupata nitaweza
Jinsigani kukueleza
Ao, uziku bembeleza
Usinikatae utaniumiza
Nakupenda kukutenda sitowdza
Verse
Kila time nakuangalia usoni

maa
Sio kamaa nakosa neno kusema
Ulivyo maaunafanya kosa kunena
Ingawa moyo hautaki kunena tena
Wazo kichwani lina beep (kukueleza)
Ilavibaya ukinijibu (bembeleza)
Nahisi sijui bembeleza
Utakataa halafu mi utaniumizaa
Kidesign nakuangalia usoni

maa
Kuna sign za kuita huko machoni

maa
Kitu fulani umehifadhi huko

moyoni maa
Unachotaka nianze mikusema
Hapa unafanya nijonde (nitashinda)
Hapa unafanya nitamke (nakupenda)
Ilaunacho jibu mdomoni nitofauti

nausemacho moyoni
Repeat Chorus
Verse
Kati yetu imetawala rangi ya

pinki
Kitu ambacho moyoni siridhikii
Nacho kuomba tuwe zaidi ya marafiki
Inajionyesha machoni unaafiki
Lugha ya macho kwa sasa (nakataa)
Tataka tuongee ilitufikie (mwafaka)
Kwenye party ulikuja umependeza
Kwenye ukaniomba kucheza
Tukadance na macho nimekiza
Leni kaficha kupeleza
Kwenye malisa mimi ninakwaleza
Ninakupe meleza, baby, please

let me go
Wena unamtaka wako kuona nataka
Chonge anakwa ana, baby please

let me go
We dada leo na misa
We dada mi sijamaliza
We unakata simu please usikate

maa
Repeat Chorus
这个歌词已经 1171 次被阅读了