Longombas - Vuta Pumz 歌词

Chorus
Hee-haa, vuta pumz We vuta pumz
Longombas wanafanya mambo (vuta pumz)
Longombas wanatetemesha (vuta pumz)
Jamani nisikilizeni, mnisikilize (x2)
Kuna wanawake warembo Wenye marasa,
na mapaja, na weupe Na ni wazuri kinyama
Jamani nisikilizeni, mnisikilize (x2)
Kuna wanaume wengi Wenye vifua, na warefu,
na wenye nguvu Na ni wazuri kinyama
Lakini tujichunge Pengine wanao mdudu
Wanatuacha, wana-go (x2)
Chorus
Hee-haa, vuta pumz We vuta pumz (x2)
Usimwone amejaza nyuma,
ukadhani ako poa Usimwone amerembeka,
ukadhani umefika Usimwone ana pesa,
ukadhani umefika Pengine anatuacha,
kesho anachora (X2)
Na kama unayo, si mwisho ya maisha
Ni ugonjwa tu kama malaria
Meza dawa, piga tizi, kula vizuri,
utaishi fiti Maisha utayasukuma (x2)
Na mijinga usiyojua kujichinga
Kila shimo unaona unadunga
Hebu jichunge kijana utakuja
kufa tukuzike Lang'ata Paja asione tu,
huyo ashainua Kifua kisipite tu,
huyo ashajigonga Tako lisipite tu,
mate yashamtoka (x2)
Chorus
Hee-haa, vuta pumz We vuta pumz (x2)
Ayi nenene (x16)
Usimwone amejaza nyuma,
ukadhani ako poa Usimwone amerembeka,
ukadhani umefika Usimwone ana pesa,
ukadhani umefika Pengine anatuacha,
kesho anachora
这个歌词已经 506 次被阅读了