Lokua Kanza - Mungu 歌词

(Lokua Kanza)
Watu wana tafuta ukweli
Mapendo kwenye iko ni mbali
Duniya ni iko na liya liya
Watu wana fika sa wa nyama
nani ata weza kusema ye ni kweli
Inabakiya tu mungu atu poneshe
这个歌词已经 575 次被阅读了