Leta moja leta leta mbii, zungusha kwetu,
Na magashi wa Kiswahili kuwanyatia ndo zetu,
nini unataka?
ninavyoflow, nina do, nipo more?
binti njoo usione soo shake body!
Bridge
leo leo tumewaka,
leo leo tumewaka,
leo leo tumewaka,
leo leo tumewaka
Chorus
Katikaa, katikaaa kiuno unachooo,
ndugu Waiter zungusha bia pesa tunazo,
Katika katika kiuno unchoo,,,
ndugu Waiter zungusha bia pesa tunazo. oyeee!!! Wololo wololooo
Verse 2
Upo wapi waiter waiter round table mbona imekata?
Money talks bomba nakuita,
Nipo hapa na Baby Girl,
Mpe kiduchu ameki try,
Mi nataka tek dry,
Masela pale nyagi dry,
Order zote pay done,
Masela wangu waruke ruke, Bomba kichizi niwarushe rushe,
Hapa leo tunakesha,
Haya mwite Mama Aisha,
Bridge
leo leo, tumewaka,
leo leo tumewaka,
leo leo tumewaka,
leo leo tumewaka
Chorus
Katika,,, katika kiuno unachooo,
ndugu waiter zungusha bia pesa tunazox 2
Repeat Bridge,
Oyee!
wololo wololo pesa tunazo
Wololo Wololo pesa tunazo,
Ndugu Waiter Zungusha bia pesa tunazo