Marlaw - Pii Pii (Peep Peep) Тексты

Ahh Ahh Eiy Eiy (Eiy Eiy)
Verse 1
Ninataka niwahi kufika,
nija inajam sasa wapi nitapita
Nimekaa karibia saa sita, s
asa kukaa nimechoka ooh baby
Sijamwona long time now,
nimerudi toka mwezi jana Nimeshakwambia
mama nimefika tangu mchana Anajua nimeshafika, ameshapika, amekasirika Alipika tangu mchana,
ila sasa, lunch imegeuka dinner
Chorus
Nimechoka kupiga honi now (pii pii) hatuelewani (2x)
Pii pii, nimechoka kupoteza time
Nina siku nyingu kwenda home,
I'm missing my baby Pii pii,
hello baby, natamani niwe nyumbani
Nimekwama hapa nijani kuna jam baby Aah aah,
kuna jam baby Aah ahh, hello (3x)
Verse 2
Unanikatia simu unanionea, wewe ungekuwepo ungejionea Unafanya hivyo unakosea
mamaa Unanikatia simu unanionea,
wewe ungekuwepo ungejionea Unafanya
hivyo unakosea mamaa Nakuomba mpenzi ungojee,
ni nijani naja niombee Nimeochoka nakuja tulee,
huruma nionee Nakuomba mpenzi ungojee,
ni nijani naja niombee Nimeochoka nakuja tulee,
huruma nionee
Hook 2x
Nimechoka kungoja highway,
nitapita popote mradi wee Ili kama ni kesi na iwe (hatuelewani)
Chorus
Nimechoka kupiga honi now (pii pii) hatuelewani (2x)
Pii pii, move out of the way,
nimechoka kupoteza time Nina siku nyingu kwenda home, I'm missing my baby Pii pii, hello baby,
natamani niwe nyumbani Nimekwama
hapa nijani kuna jam baby
Aah aah (ooh), I love you so much Aah ahh,
I love you Mama Aah aah, I love you Mamaa,
ah ah ai
Hook 2x
Nimechoka kungoja highway,
nitapita popote mradi wee Ili kama ni kesi na iwe (hatuelewani) 2x
Pii pii, move out of the way, nimechoka kupoteza time Nina siku nyingu kwenda home,
I'm missing my baby Pii pii, hello baby,
natamani niwe nyumbani Nimekwama
hapa nijani kuna jam baby 2x
I love you so much, I love you Mama I love you mama (2x) My baby (6x)
Этот текст прочитали 636 раз.