Ray C - MotoMoto Şarkı Sözleri

Verse 1 (Ray C)
nilishasema sitokuja penda tena
na nikasema sitoumizwa tena
nikaja kutana na kijana wa Nairobi
anipenda nashindwa kukataa
mapenzi moto moto
anilea ka mtoto

penzi lake lanimaliza
nampenda sijiwezi

Chorus (Ray C)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
(French Boy)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto

Verse 2 (French Boy)
nimependa huyu dame kwangu ye ni malaika
urembo wake wajiuza my cherie nimedata
oh no nimechizi mpaka sijiwezi
na siwezi ishi bila ye ndiye mahabubu
yeye hunitibu ye ndio tabibu
kwaya nayo ni sibu

penzi lake lanimaliza
nampenda sijielewi

Chorus (French Boy)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
(Ray C)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto

Verse 3
ni hot
inachoma
her love for me
makes me sing ooh

ni hot
inachoma
her love for me...

Chorus (Ray C)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
(French Boy)
moto moto
penzi lake moto moto
moto moto
penzi moto moto
Bu şarkı sözü 1129 kere okundu.