Kenzo - Zam Zam Şarkı Sözleri

Intro
Kenzo
Ogopa DJS
Matata hii

Verse 1
Maisha ya upekee Jamani mi sitaki
Nimeaamua kuwacha Maisha ya u-bachelor
Niko katika Hali ya kutafuta
Msichana mmoja Mrembo ni eeh

Chorus
kama wewe ni Zam zam
kama wewe ni eeh
kama wewe ni Zam zam
kama wewe ni eeh
kama wewe
kama wewe

kama wewe
kama wewe

Verse 2
nimesema na wengi nimejitupa na wengi
nimehangaika sana nikitafuta mchumba
wa kunitunza anizalie mapacha
ninapotokea kazini kuna wa kusema nami
nikikasirika anifurahisha
msichana mmoja mrembo eeh

Chorus
kama wewe ni Zam zam
kama wewe ni eeh
kama wewe ni Zam zam
kama wewe ni eeh
kama wewe
kama wewe

kama wewe
kama wewe

Verse 3
nimeamua Nitamtafuta Sitachoka
Mpaka mi nimpate
nimeamua Nitamtafuta Sitachoka
Mpaka mi nimpate

nimeamua
Nitamtafuta
Sitachoka
Mpaka mi nimpate

nimeamua
Nitamtafuta
Sitachoka
Mpaka mi nimpate

Chorus
kama wewe ni Zam zam
kama wewe ni eeh
kama wewe ni Zam zam
kama wewe ni eeh
kama wewe
kama wewe

kama wewe
kama wewe
Bu şarkı sözü 797 kere okundu.