Colonel Mtafa - Mtaani Dot Com Şarkı Sözleri

Intro (Colonel Mustafa)
mtaani dot com
maisha ni ku-hustle
ndivyo ilivyo
Mustafa Colonel
una-witness the second revolution
Ogopa DJs

Verse 1
alikuwa footballer, Mathare FC
sasa boy wa mtaa amekuwa star Italy (mtaani dot com)
majamaa wamesoma
lakini hakuna kazi wana-struggle mtaani
alikuwa thug, na si kupenda kwake
pesa aliyopata alilisha familia yake (mtaani dot com)
school fees ilikuwa shida
lakini alimada chuo mshahara six figures (mtaani dot com)
yule boy alikuwa makanga
alizidi ku-hustle sasa ana matatu saba
jamaa ana-buy watoto lollipop
ana-smile jihadhari anaweza kuwa p**dophile

Chorus
mtaani dot com
kila siku mtaani ni ku-hustle
pengine upate, pengine ukose
ukipata shukuru Mungu jamaa
ukikosa pia kesho inakamu

mtaani dot com
kila siku mtaani ni ku-hustle
pengine upate, pengine ukose
ukipata shukuru Mungu jamaa
ukikosa pia kesho inakamu

Verse 2
(mtaani dot com)
mchana amevaa buibui
usiku amebadilika ngozi ni ya chui chui (mtaani dot com)
wasanii wakali ni kibao
lakini hawana pesa ku-record ngoma zao (mtaani dot com)
kijana amekatia mama
mama mzungu, sasa anaishi majuu (mtaani dot com)
mathree zina screen kubwa
ata zinashindana na zile ziko kwenye manyumba
kila mtu kwa mtaa anasaka
ata five years old
anauza karanga (mtaani dot com)
mimi sihitaji visa
mi ni vulture
natumia tu mabawa

Chorus
mtaani dot com
kila siku mtaani ni ku-hustle
pengine upate, pengine ukose
ukipata shukuru Mungu jamaa
ukikosa pia kesho inakamu

mtaani dot com
kila siku mtaani ni ku-hustle
pengine upate, pengine ukose
ukipata shukuru Mungu jamaa
ukikosa pia kesho inakamu

Verse 3
kuna machizi wamedata
hawashikiki
hata kwa pikipiki (mtaani dot com)
usishangae kuona Juma amerembesha ka Fatuma
mpaka nashtuka
baba ya mtu ni murderer
akirudi home ye ni m-humble tena sana (mtaani dot com)
asubuhi msee anatafuta blu
aende kwa mama Njoki kukunywa mudi (mtaani dot com)
mimi sihitaji visa
mi ni vulture
natumia tu mabawa
mimi sihitaji visa
mi ni vulture
natumia tu mabawa

Chorus
mtaani dot com
kila siku mtaani ni ku-hustle
pengine upate, pengine ukose
ukipata shukuru Mungu jamaa
ukikosa pia kesho inakamu

mtaani dot com
kila siku mtaani ni ku-hustle
pengine upate, pengine ukose
ukipata shukuru Mungu jamaa
ukikosa pia kesho inakamu
Bu şarkı sözü 1020 kere okundu.